Jambo Moja ambalo nitamkumbuka MAGUFULI, Alikuwa akihaidi jambo analitimiza,Alituhaidi mwaka 2015/16 Hatatunyima haki yetu ya msingi #UCHAGUZI2020 Na...
Mwisho wa Ubaya ni aibu na fedheha kubwa. JOB ameshiriki maovu na dhulma nyingi. Aliharakisha mchakato wa @TunduALissu kufutwa ubunge na kunyimwa stahiki...
@cw_pedro@siadevinci Hivi kweli unaweza kuweka imani yako kwa mtu aliyesema #uchaguzi2020 ulikuwa huru na haki!?
Mtu aliyesifia uchaguzi 2020, anaweza...
#Uchaguzi2020 Mlifanya Mapinduzi na baada ya Mapinduzi hayo kilichofuata
-Tukienda Kwenye shughuli za Kijamii Wananchi wanakuja kutusalimia kwa Makundi...
Kwa mujibu wa mtafiti wa @hrw@oryembley takriban watu 10,000 wa vikosi vya usalama walipelekwa Visiwani takriban tarehe Oct 26 na ndipo matukio yalipoanza...